HOSPITALI YA MLOGANZILA YAMPATIA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA KWA MGONJWA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HOSPITALI YA MLOGANZILA YAMPATIA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA KWA MGONJWA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Charles Majinge (kushoto) akimpatia msaada wa mashine ya kusaidia kupumua (Oxygen Concentrator) Bw. Hamad Awadhi ambaye alilazwa kwa muda wa mwaka mmoja katika Hospitali ya Mloganzila.Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi MNH- Mloganzila Redemptha Matindi (aliyevaa gauni la bluu) akitoa maelezo namna mashine ya oxygen inavyounganishwa ili iweze kutumika kwa mgonjwa, anayemfuatia ni Prof. Charles Majinge, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Mohamed Mohamed, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Lawrence Museru.Prof. Lawrence Museru (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini MNH Prof. Majinge (wa pili kuli) kuhusu ununuzi wa mashine ya kusaidia kupumua (Oxygen Concentrator) ambayo imegharimu shilingi milioni tatu na nusu, kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mloganzila Dkt. Julieth Magandi.Dkt. Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani MNH- Mloganzila Dkt. Patricia Munse... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More