HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YAOKOA TZS 3.96 BILIONI NDANI YA MIEZI 10 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YAOKOA TZS 3.96 BILIONI NDANI YA MIEZI 10

Mkuu wa Idara ya  huduma za tiba radiolojia (Interventional Radiology) Dkt. Frolence Lwakatare (katikati) akiongea na wanahabari wakati akielezea jinsi huduma hiyo ilivyo muhimu kwa jamii ambalo amesema kuwa inapunguza hatari kwa mgonjwa maana upasuaji huwa unahatarisha maisha ya mgonjwa. Kulia ni Joan mmoja ya wagonjwa walipatiwa matibabu na Kushoto ni Daktari Bingwa wa Meno, Kimywa na Uso, Dkt. William Siang'a.Mkurugenzi wa wa huduma za Tiba Shirikishi Dkt. Praxeda Agweyo (katikati) akiongea na wanahabari kuelezea huduma mpya walioyoianzisha tokea Novemba 2017 inahusisha utalaam wa kutumia vifaa vya radiolojia kama X-Ray, MRI, CT-Scan na Ultra-Sound kutibu moja kwa moja ugonjwa au kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi.  Kulia ni Joan mmoja ya wagonjwa waliopatiwa matibabu na (kushoto) ni Mkuu wa Idara ya  huduma za tiba radiolojia (Interventional Radiology) Dkt. Frolence Lwakatare. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Daktari Bingwa wa Meno, Kimywa na Uso, Dkt. Wil... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More