HOTUBA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WAKATI AKIAHIRISHA MKUTANO WA 13 WA BUNGE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HOTUBA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WAKATI AKIAHIRISHA MKUTANO WA 13 WA BUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge jijini Dodoma, Novemba 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
UTANGULIZI       Mheshimiwa Spika, awali ya yote, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia uzima na afya njema na kutufikisha siku ya leo tunapohitimisha Mkutano wa 13 wa Bunge lako tukufu tuliouanza siku ya Jumanne tarehe 6 Novemba, 2018.
     Mheshimiwa Spika, ninakushukuru sana na kukupongeza kwa kuendelea kuliongoza Bunge hili Tukufu kwa umahiri mkubwa. Niwashukuru pia Mheshimiwa Naibu Spika na Waheshimiwa Wenyeviti wa Bunge kwa kuendelea kukusaidia katika kutekeleza ipasavyo majukumu ya kuliongoza Bunge lako Tukufu.      Mheshimiwa Spika, vilevile, niwapongeze Waheshimiwa Wabunge wenzangu kwa kukamilisha shughuli zote zilizopangwa kutekelezwa kwenye Mkutano huu, na kutoa michango mingi mizuri kupitia mijadala ya hoja mbalimbali zilizowasilishwa na Serikali. Nitumie fursa hii kuwahakikishia kuwa, S... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More