HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2019/20 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2019/20


Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020. *****

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB),AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZOYA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFANA MWONGOZO WA MAANDALIZIYA MPANGO NA BAJETIYA MWAKA 2019/20
UTANGULIZI1.                  Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya kuandaa Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kuboresha Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2019/20.2.                  Mheshimiwa Spika, kinachowasilishwa sasa mbele ya Bunge lako Tukufu ni kwa mujibu wa Kifungu cha 94  cha Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Mwaka 2016 kinachoelekeza Serikali kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mwongozo wa Maandaliz... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More