HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO, MHESHIMIWA JAPHET NGAILONGA HASUNGA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KILIMO KWA MWAKA 2019/2020 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO, MHESHIMIWA JAPHET NGAILONGA HASUNGA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KILIMO KWA MWAKA 2019/2020


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Ngailonga Hasunga (Mb) akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2019/2020 Bungeni Jijini Dodoma, leo tarehe 17 Mei 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Kilimo Prof Siza Tumbo wakifatilia hotuba ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Ngailonga Hasunga (Mb) kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2019/2020 Bungeni Jijini Dodoma, leo tarehe 17 Mei 2019.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Ngailonga Hasunga (Mb) akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2019/2020 Bungeni Jijini Dodoma, leo tarehe 17 Mei 2019.
1.0             UTANGULIZI

1.  Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo Mifugo na Maji, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili taarif... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More