How Kyamirwa Brides Slays in their Wedding Dresses - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

How Kyamirwa Brides Slays in their Wedding Dresses

Morning


hopefully wote mlikua na weekend amazing


Leo tumcheki designer Kyamirwa ambaye nimegundua kwamba alipotea insta for sometime but he is back na amerudi with such a strong force,maana hao brides wake wanavyo slay unawaza may be alipojipa likizo alikua anahakikisha project zake hizi zinatoka vizuri.


Kuanzia send off na harusi brides wamependeza sana,wanene ,wembamba wafupi warefu kila mmoja kwa umbo lake na shape yake kanogaa,anajua angle vyema na anazi zingatia.


Kuna nguo yake alomshonea Alma she looked amazing with her baby bump ,yani kapendeza sana,wengi wakifunga ndoa wakiwa wajawazito wanaficha tumbo na kuvaa dresses za kuwa achia but Alma slayed to the Gods .


Alama


MartStella


she is a beauty for sure
simple  elegant plain dresslove the train and bowSource: 8020 FashionsRead More