Huawei yaizidi Apple kimauzo - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huawei yaizidi Apple kimauzo

Ushindani kwenye biashara ni lazima na kwa mwaka 2018 Apple haina rekodi nzuri sana ukilinganisha na wapinzani wake wakuu na hii inadhihirika kwa mara nyingine tena Huawei kuweza kuizidi kampuni nguli kimauzo. Katika hatua za kufunga hesabu za mwaka husika Huawei imeweza kuwa mbele ya Apple kwenye mauzo ya jumla kwa bidhaa zake ambapo yameonekana [...]


The post Huawei yaizidi Apple kimauzo appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More