Huawei yakiri kutoipita Samsung kwa mauzo ya simu mwaka huu - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huawei yakiri kutoipita Samsung kwa mauzo ya simu mwaka huu

Huawei yakiri kutoipita Samsung mwaka huu. Lengo la kampuni ya Huawei la kuipiku Samsung kwa mwaka huu na kuwa namba moja duniani kwa mauzo ya simu, limeonekana kuingia dosari baada ya kuwekewa vikwazo na serikali ya Marekani. Uongozi wa Huawei umekubali sasa itachukua muda mrefu kuliko ilivyo tarajiwa kuja kuipiku Samsung kutoka namba moja katika [...]


The post Huawei yakiri kutoipita Samsung kwa mauzo ya simu mwaka huu appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More