Huddah Amtaka Mh,kenyata Kuhararisha Bangi. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huddah Amtaka Mh,kenyata Kuhararisha Bangi.

Mwanadada maarufu kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe amemuomba mh rais wa nchi hiyo kufanya uhalali wa kilevi cha bangi kila  hata bila kufanya mchakato wa kura za maoni .Mwanadada huyo ambae mara nyingi amekuwa akionekana akitumia kilevi icho kama kiburudisho kwake anasema kuwa yoyote aliye karibu na rais amfikishe taarifa za ombi lake.


katika ukurasa wake wa instagram Huddah aliandika “kabla ya kura ya maoni , tunaomba abgi ihararishwe, nani aliye karibu na rais naomba amfikishie hili”


Huddah hatokuwa mwananchi wa kwanza nchini humo kutaka mmea huo wenye kilevi na unaotambulika katika baadhi ya  nchini kuwa madawa ya kulevya kutaka mmea huo kutumika kihalali kila mahala.Inasemwa kuwa zaidi ya watu  1400 mwaka uliopita walitaka kuunga mkono hoja hiyo iliyowakilishwa bungeni na mmoja wa wanasayansi nchini humo  akisema kuwa ina faida sana kwa wananchi na kwa pato la Taifa pia.


The post Huddah Amtaka Mh,kenyata Kuhararisha Bangi. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More