Huduma bora za matibabu pamoja na upasuaji wa moyo za JKCI zatambulika kimataifa - Sheik Hassan Said Chizenga - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huduma bora za matibabu pamoja na upasuaji wa moyo za JKCI zatambulika kimataifa - Sheik Hassan Said Chizenga

Mwakilishi wa Mufti Sheik Hassan Chizenga akimkabidhi tuzo ya kuthamini utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Agnes Kuhenga wakati wa hafla fupi ya kuwashukuru wataalam wa afya kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya Misaada (IIRO) ya nchini Saudi Arabia walioko nchini kwa ajili ya kufanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa ambao valvu zao hazifanyi kazi vizuri. Kushoto ni Naibu Balozi wa Saudi Arabia Mhe. Ahmed Al Ghamidi.
Na Salome Majaliwa - JKCI 

 Huduma bora za matibabu pamoja na upasuaji wa moyo zimeifanya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutambulika kimataifa na hivyo wataalamu wengi kutoka nje ya nchi kuvutiwa kwenda kufanya kambi maalum za matibabu ya moyo kwa kushirikiana na madaktari wa Taasisi hiyo. Hayo yamesemwa leo na Mwakilishi wa Mufti,Sheik Hassan Said Chizenga wakati wa hafla fupi ya kuwashukuru wataalam wa afya kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya Misaada (IIRO) ya nchini Saudi Arabia ambao... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More