Huku Kisiga, kule Boban patamu hapo! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huku Kisiga, kule Boban patamu hapo!

PIGA picha tu, huku kuna Shaaban Kisiga na Ramadhani Chombo ‘Redondo’ halafu kule yupo Haruna Moshi ‘Boban’ na Jabir Aziz ‘Stima’, hapo utamu unakuwaje? Sasa chama la mafundi hao wa soka nchini lipo pale African Lyon baada ya klabu hiyo ya Ligi Kuu Bara kuwakusanya pamoja kupitia dirisha dogo linaloendelea.


Source: MwanaspotiRead More