Hukumu ya kifo yaendelea kupingwa Tanzania - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hukumu ya kifo yaendelea kupingwa Tanzania

Kwa mujibu wa taarifa ya 2017 ya  Haki za Binadamu ya Tanzania, tayari watu 472 wamehukumiwa adhabu ya kifo, ambapo kati yao wanaume 452 na wanawake 20, na katika orodha ya watu hao watu 228, wanasubiri hukumu zao kutekelezwa na 244, rufaa zao bado zinasikilizwa mbele ya Mahakama ya Rufaa. Ingawa bado takwimu rasmi za


Source: Kwanza TVRead More