Hukumu ya Uenyekiti wa Prof. Lipumba Januari mwakani - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hukumu ya Uenyekiti wa Prof. Lipumba Januari mwakani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imehalisha kutoa uamuzi juu ya uhalali wa Msajili wa vyama vya siasa nchini kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kama Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Shauri hilo namba 13 la Mwaka 2016 lilipangwa kutolewa uamuzi tarehe 30 Novemba, 2018, lakini lilikwama baada ya Jaji ...


Source: MwanahalisiRead More