Hutaki! Hii ndio Simba buana - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hutaki! Hii ndio Simba buana

SIMBA wametetea ubingwa wao wakiwa na mechi mbili mkononi dhidi ya Biashara United watakaokaribishwa Uwanja wa Uhuru keshokutwa Jumamosi pamoja na Mtibwa Sugar itakayochezwa wiki ijayo Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.


Source: MwanaspotiRead More