Huu ndio ugonjwa uliokatisha uhai wa mke wa Ephraim Kibonde (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huu ndio ugonjwa uliokatisha uhai wa mke wa Ephraim Kibonde (+video)

Familia ya Kibonde imetaja ratiba ya mazishi ya mke wa mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde huku wakieleza chanzo cha umauti cha Sara Kibonde.Familia ya Kibonde imesema Sara amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani na hadi umauti unamkuta alikuwa amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal.


Sara katika maisha yake ya ndoa na Ephraem Kibonde wamefanikiwa kupata watoto watatu na mwili wake unatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii katika makaburi ya Kinondoni.


 


The post Huu ndio ugonjwa uliokatisha uhai wa mke wa Ephraim Kibonde (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More