Huu Ndiyo Uhuru Wako Wa Kweli Hapa Duniani Na Utakaokuwezesha Kufanikiwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huu Ndiyo Uhuru Wako Wa Kweli Hapa Duniani Na Utakaokuwezesha Kufanikiwa.

Rafiki yangu mpendwa, Moja ya hitaji muhimu sana la maisha ya mafanikio ni uhuru. Wale wanaofanikiwa ni wale ambao wapo huru zaidi na maisha yao. Changamoto kubwa ni kwamba, watu wengi wanafikiri wapo huru, wakati kwa uhalisia hawapo huru. Kwa sababu unaambiwa upo huru, kwa sababu unaishi kwenye nchi yenye uhuru, haimaanishi kwamba lazima na... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More