Huu Ndiyo Uzuri Wa Changamoto Unayopitia Sasa - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huu Ndiyo Uzuri Wa Changamoto Unayopitia Sasa

Mpendwa rafiki yangu, Changamotozo katika maisha hazitakoma, bali zitaendelea kuwepo kila siku ya maisha yako. Maisha yasingekuwa na changamoto yangekuwa hayana maana kuishi ila maisha yanakuwa yana nidhamu kwa sababu ya changamoto. Hatuwezi  kuwa bora bila changamoto, tunakuwa imara pale tunakabiliana na changamoto ndiyo maana mpaka ukimwona mtu ametangazwa mshindi wa kitu fulani basi ujue... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More