Huyu Chama na Aussems wanatupatia somo - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huyu Chama na Aussems wanatupatia somo

Na Robert KombaTumeshuhudia soka la kiwango kikubwa toka kwa Simba sports club ikicheza na Mbababe Swallows ugenini huko nchini Eswati (Swaziland). Zaidi ya matokeo ya kupendeza kwa upande wa simba ishinda 4-0, tumeweza kuona kwa uzuri zaidi, nadharia ya uchezaji wa simba sports club chini ya mwalimu Mbelgiji Aussesms.Simba katika mechi hiyo walitumia mfumo wa 4-2-1-3, muundo(formation) ambao kwenye karatasi ulionekana kama 4-3-3 ambapo golini alikuwa Tanzania one Aishi Manula, mabeki (Gyan, Wawa, Nyoni, M. Hussein) viungo wawili wanao “hold” timu (Kotei, Mkude) kiungo mmoja wa ushambuliaji ambaye pia alipewa nafasi huru ya kucheza (Chama) na washambuliaji watatu (Kagere, Bocco na Okwi) .Kikosi ambacho kwa kiasi kikubwa ndio kimekuwa kikianza katika mech za simba kwa hivi karibuni na mabadiliko pekee yakiwa ni Kichuya ambaye huchezeshwa kama sehem ya viungo wa kati na Kotei kuanzia benchi.Tofauti na mechi ya mzunguko wa kwanza iliyofanyika hapa Tanzania, Aussems aliutaka mstari w... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More