Huyu jamaa akitua tu Simba mtakoma - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huyu jamaa akitua tu Simba mtakoma

KATIKA kuhakikisha safu ya ushambuliaji ya kikosi cha Simba inakuwa tishio, mabingwa hai watetezi wa Ligi Kuu wamepanga kumleta straika matata kutoka Congo ambaye anakipiga Zambia na walikuwa wakimsaka kabla ya dirisha la usajili wa ndani na ule wa Shirikisho la soka Afrika (CAF) kufungwa ili waweze kumtumia katika mashindano ya kimataifa.


Source: MwanaspotiRead More