Huyu ndio msanii aliyetambulishwa na pili pili entertainment - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huyu ndio msanii aliyetambulishwa na pili pili entertainment

Kampuni ya Filamu Tanzania ya Pili pili Entertainment imeamua kutanua wigo na kujiingiza kwenye muziki badala ya kusimamia mambo ya filamu tu.

Kabla ya kuanza kumiliki wasanii ikiwa kama record lebal kipindi cha nyuma waliwahi kufanya hivyo ambapo walikuwa na wasanii wawili tu ambao ni mwanamuziki Bebi madaha pamoja na Feysal lakini kwa mara hii wameamua kutambulisha msanii mwingine ambaye ni Finally na kuweza kufanya wasanii kuwa watutu.



Licha ya kutambulisha wasanii kampuni hiyo pia imeweza kuandaa shindano la kumtaka mtunisha misuli anayejulikana kama Mr Bodybuilder pamoja na Mr Handsome Tanzania ambapo watafanya zoezi hili katika mikoa saba ya mwanzo nchini,wakati anaongea meneja wa kampuni hiyo amesema “kutoakana na maoni mengi ya wanawake kutaka apatikane pia mrs Bodybulder wameamua kuingiza kipengele hicho hivyo kwa msimu huu wataweka kipengele hicho ili kumpata Mrs Bodybulder kwa upande wa madada.

Kampuni hiyo imeweza kumtambulisha msanii wao mpya anayejulikana kama Finally ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More