Huyu ndiye Bilionea anayetaka kuinunua Chelsea, amzidi Abramovich kwa utajiri, anawafanya kazi kutoka nchi 22 duniani - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huyu ndiye Bilionea anayetaka kuinunua Chelsea, amzidi Abramovich kwa utajiri, anawafanya kazi kutoka nchi 22 duniani

Bilionea wa Uingereza, Sir Jim Ratcliffe bado ameendelea kuonyesha kutaka kuinunua klabu ya Chelsea huku nia hiyo ikionekana kugonga mwamba mbele ya mmiliki wa timu hiyo, Roman Abramovich kutokana na dau dogo aliloweka mezani.

Britain's richest man Sir Jim Ratcliffe retains an interest in buying Chelsea despite becoming the owner of Team Sky this week
Bilionea wa Kiingereza, Sir Jim Ratcliffe anayetaka kuinunua klabu ya Chelsea

Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa, Ratcliffe mwaka jana alitoa ofa kwa miamba hiyo ya Premier League lakini bado dili hilo halijakamilika.

Ratcliffe ambaye anakadiriwa kuwa na utajiri wa pauni bilioni 21 hivi karibuni anatarajiwa kuwa mmiliki wa timu ya baiskeli ya Team Sky kabla ya kuinunua na Chelsea.

Roman Abramovich values the club at £2.1bn, with Ratcliffe's offer last year below that figureMmiliki wa Chelsea Roman Abramovich 

Hatakama, Abramovich hajachukulia kwa umakini mkubwa dhamira ya bilionea huyo wa Kiingereza, dau analotaka yeye ni pauni bilioni 2.1.

Abramovich amekosekana katika dimba la Stamford Bridge karibia msimu mzima kufuatia wakati mgumu anaopitia kwa sasa wa kunyimwa visa kutokana na mambo ya kimahusiano baina ya U... Continue reading ->
Source: Bongo5Read More