Huyu ndiye Mo Dewji - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huyu ndiye Mo Dewji

Tukio la kutekwa kwa Mfanyabiasha maarufu nchini Mohammed Dewji 'MO Dewji' ambaye ni mshindi wa zabuni ya kuwekeza kwenye klabu ya Simba kwa kiwango cha hisa 49%, ndio habari iliyotikisa vyombo vya habari nje na ndani ya nchi kwa sasa.


Source: MwanaspotiRead More