Huzuni yatawala Simba! Mbuzi wawili watumika kisomo cha MO - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Huzuni yatawala Simba! Mbuzi wawili watumika kisomo cha MO

Mapema leo Uongozi wa Klabu ya Simba ulitangaza uamuzi wa kufanya kisomo saa 8 mchana baada ya sala ya Ijumaa makao makuu ya Simba, Msimbazi kwa ajili ya kumuombea Dewji ‘MO’ aliyetekwa na watu wasiojulikana jana alfajiri.


Source: MwanaspotiRead More