I’M SORRY: Pep awaomba msamaha wachezaji wake baada kipigo cha Real Madrid - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

I’M SORRY: Pep awaomba msamaha wachezaji wake baada kipigo cha Real Madrid

KATIKA toleo lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alizungumzia mfumo ambao Bayern ingeutumia kuivaa Real Madrid katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wakati huo Madrid ikiwa chini ya kocha wa kiwango cha juu, Carlo Anceloti. Endelea…


Source: MwanaspotiRead More