iCloud Imejaa? Fanya Haya Kuongeza Ujazo! - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

iCloud Imejaa? Fanya Haya Kuongeza Ujazo!

Tumepata malalamiko wengi kwa watumiaji wa iPhone na kikubwa ni kwenye iCloud za vifaa vyao kuwa zinajaa ndani ya kipindi cha muda mfupi. Kuna mambo mengi sana ambayo yanapelekea simu hizo kujaa katika ujazo-uhifadhi wa kimtandao wa iCloud. Kwa kawaida Apple wanatoa GB 5 za bure katika iCloud hivyo zikijaa mtu ana uwezo wa kulipia [...]


The post iCloud Imejaa? Fanya Haya Kuongeza Ujazo! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More