IDADI YA MADAKTARI NA WATOA HUDUMA ZA AFYA WALIOPATIWA MAFUNZO NA WCF YAFIKIA 856 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IDADI YA MADAKTARI NA WATOA HUDUMA ZA AFYA WALIOPATIWA MAFUNZO NA WCF YAFIKIA 856

Baadhi ya madaktari na watoa huduma za afya wakionesha stika watakazobandika kwenye ofisi zao, mara baada ya kushiriki mafunzo ya siku tano ya namna ya kufanya tahmni ya ugonjwa na ajali zitokanazo na kazi mjini Morogoro. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) yamefungwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mei 10, 2019.NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MorogoroMFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) tayari umeweza kumetoa mafunzo kwa madaktari na watoa huduma za afya 856 Tanzania Bara kuhusu namna ya kufanya tathmini ya ugonjwa na ajali zitokanazo na kazi
Akizungumza muda mfupi kabla ya kumkaribisha Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kufunga mafunzo ya wiki moja kuhusu namna ya kufanya tathmini hiyo mjini Morogoro Mei 10, 2019, Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini wa Mfuko huo, Dkt. Abdulsalaam Omary alisema idadi hiyo ni kuanzia mwaka 2015 tangu Mfuko huo uanze kutekeelza majukumu yake hadi kufikia Mei 10, 2019.
Alisema washiriki waliohudhuria mafunzo ya Morogoro wana... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More