Idadi ya watumiaji wa Intaneti yaongezeka Ulimwenguni - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Idadi ya watumiaji wa Intaneti yaongezeka Ulimwenguni

Idadi ya watumiaji wa intaneti duniani imezidi kuongezeka na huku bara la Afrika likishika nafasi ya tatu kwa wingi wa watumiaji. Idadi ya watu wanaotumia Intanet ulimwenguni, kufikia Julai mwaka huu imefikia watu bilioni 4.4, huu ni ukuaji mkubwa kutoka watumiaji bilioni 3 Julai mwaka jana. Hayo ni kulingana na taarifa iliyojumuishwa kutoka katika ripoti [...]


The post Idadi ya watumiaji wa Intaneti yaongezeka Ulimwenguni appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More