IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA KILIMANJARO IMEMFUKUZA RAIA WA KENYA ALIYEISHI NCHINI MIAKA 20 KINYUME NA SHERIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA KILIMANJARO IMEMFUKUZA RAIA WA KENYA ALIYEISHI NCHINI MIAKA 20 KINYUME NA SHERIA


Na Woinde Shizza-Globu ya jamii

IDARA ya uhamiaji mkoani Kilimanjaro imemfukuza nchini raia wa Kenya Magdalena Wavinya (43)ambaye ni Mkazi wa kijiji cha Ghona katika kata ya Kahe Mashariki wilayani Moshi Vijijini ,mkoani humo kwa kosa la kuishi nchini kwa zaidi ya miaka 20 kinyume cha sheria.

Aidha inamshikilia mumewe ,Steven Mrutu(45)kwa madai ya kuwa na mashaka na uraia wake, pamoja na Ofisa Mtendaji wa kijiji cha Mikameni wilayani humo Panaska Issa Manyi anayedaiwa kuishi na mwanamke ,Lyidia Nakiete raia wa Kenya ambaye alitoroka muda mfupi wakati maofisa wa uhamiaji wakimfuatilia kwa ajili ya vibali vya makazi.

Akizungumza leo Machi 19,2019 na ofisini kwake Ofisa Uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Albert Rwelamira alisema idara hiyo imelazimika kumfutia kibali cha muda anachotumia mkazi huyo na kumpatia saa 24 awe ameondoka nchini tangu Machi 15,mwaka huu

"Tumelazimika kumfukuza nchini Magdalena kwa sababu kubwa mbili yakwanza amekuwa akiishi nchini kwa zaidi ya miaka 20 bila kuwa na kibali ,... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More