Idara ya Uhamiaji yawaachia wanahabari wa Kenya na A.Kusini - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Idara ya Uhamiaji yawaachia wanahabari wa Kenya na A.Kusini

Serikali kupitia Idara ya Uhamiaji imesema wanahabari waliokamatwa nchini Angela Quintal na Muthoki Mumo, wameachiwa huru baada ya kuhojiwa na kukaguliwa na Maafisa wa Uhamiaji ambao walikuwa wakitekeleza majukumu yao ya kufuatilia mienendo ya wageni wanaoruhusiwa kuingia nchini. Msemaji wa Idara ya Uhamiaji Ally Mtanda, ameiambia Kwanza Tv kuwa katika uchunguzi uliofanywa na Maafisa wa Uhamiaji ulibaini


Source: Kwanza TVRead More