Idris Aongea na Wanaume Wanatumia Neno Kudamshi. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Idris Aongea na Wanaume Wanatumia Neno Kudamshi.

Mchekeshaji maarufu  nchini idris amefunguka na kuoyeshwa kukerwa na tabia ya baadhi ya wanaume wanaotumia neno kudamshi kama kionjo cha kusifia mtu aliyependeza.Kwa msimamo wa idris neno hilo linapaswa kutumia na jisia ya kike na wala sio ya kiume kama ambavyo watu wengi kwa sasa wamekuwa wakilitumia kwa mazoea.


Hata hivyo katika ukurasa wake wa instagram, idris aliandika kuwa amesikia watu wanaotumia neno hilo wamekuwa weng na kama watu hao wapo na wanaume basi anaomba kuwajua kwa majina ili aweze kuwatafuta na kuwavunja vunja.

 


The post Idris Aongea na Wanaume Wanatumia Neno Kudamshi. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More