Idris Sultan Amuombea Msamaha Maua Sama - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Idris Sultan Amuombea Msamaha Maua Sama

Msanii wa Bongo movie na Comedian maarufu Idris Sultan ameibuka na kumuombea msamaha Msanii wa Bongo fleva Maua Sama baada ya kuwekwa rumande kwa siku tatu.


Siku chache zilizopita Maua Sama na mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown walitiwa nguvuni na jeshi la polisi baada ya video iliyowaonyesha wakiwa wanakanyaga pesa kusambaa Kwenye mitandao ya kijamii.


Baada ya kusambaa kwa video hiyo toka jumapili mpaka leo Soudy Brown na Maua bado hawajapata dhamana.


Idris Sultan ameibuka na kumuombea radhi Maua Sama na kuomba aachwe huru na Awe mfano wa kuigwa na jamii:


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Idris Sultan ameandika:


View this post on InstagramBinafsi ningependa kumuombea msamaha Maua kwakuwa lengo sio kuivunjia heshima fedha yetu na benki kuu kwa ujumla. Katika harakati za kujitafutia ugali makosa yatafanyika tu ila muhimu ni tukae tukumbuke lengo. Lengo sio kukomoana, lengo sio kuonyeshana nani anajua zaidi, lengo sio kuwekeana mabavu bali lengo ni... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More