Ifahamu Boeing 737 MAX 8 kwa undani: Ni moja ya ndege inayouzika sana kwa sasa - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ifahamu Boeing 737 MAX 8 kwa undani: Ni moja ya ndege inayouzika sana kwa sasa

boeing 737 max 8


ya Boeing 737 MAX 8 ni ndege maarufu sana kwa sasa, lakini si kwa umaarufu mzuri. Ndege ya aina hii ndiyo iliyopata ajari majuzi na kuua abiria na wafanyakazi wote waliokuwa kwenye ndege ya shirika la ndege la Ethiopia.Kwa kifupi hii ni ajali ya mbili ya ndege hiyo hiyo kutokea katika kipindi cha chini ya miezi 6 – na kibaya zaidi ni kwamba ni ndege mpya kabisa na kwa ajali mbili katika kipindi cha miezi 6 kwa ndege za familia mpya ni kitu ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya ndege za biashara.Kwa sasa kuna takribani ndege 350 za Boeing 737 MAX 8 duniani kote, zikimilikiwa na mashirika 54 ya ndege.
boeing 737 Max 8

HistoriaNdege za familia ya Boeing 737 zilianza kutengenezwa mwaka 1966 huko nchini Marekani, ndege ya kwanza kupaa kwa majaribio ilifanya hivyo tarehe 9 Aprili 1967.Ndege hizi zinatengenezwa mahususi kwa ajili ya safari fupi na zile za masafa ya kati. Kwenye biashara ya ndege huwa umbali unawekwa kimakundi haya;Masafa ya kati ni umbali unaocheza katikati ya masafa mafupi na marefu... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More