Ifanye Kazi Yako; Ujumbe Muhimu Kwa Wale Wanaopitia Magumu Kwenye Maisha Yao. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ifanye Kazi Yako; Ujumbe Muhimu Kwa Wale Wanaopitia Magumu Kwenye Maisha Yao.

Rafiki yangu mpendwa, Maamuzi muhimu sana unayoweza kufanya kwenye maisha yako, ni kuifanya kazi yako. Na kuwaacha wengine wafanye kile walichochagua kufanya. Pale unapokutana na hali ya kukata tamaa, ifanye kazi yako, kila unapofanya kitu, unabadili hali uliyonayo. Kila unapotamani kulalamika na kulaumu wengine kwa mambo yaliyotokea, ifanye kazi yako, ukiwa umetingwa na kazi, hutapata... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More