IGELEKE FC BINGWA WA SAUTI YA SIMBA SUPER CUP 2019 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGELEKE FC BINGWA WA SAUTI YA SIMBA SUPER CUP 2019

Diwani Nguvu Chengula wa kata ya Mwangata na mkurugenzi wa shule za Sun Academ ambaye alikuwa ndiye mdhamini wa mashindano hayo ya Sauti ya Simba Super Cup 2019 akiongea baada ya kupatikana kwa mshindi wa kombe hiloDiwani Nguvu Chengula wa kata ya Mwangata na mkurugenzi wa shule za Sun Academ ambaye alikuwa ndiye mdhamini wa mashindano hayo ya Sauti ya Simba Super Cup 2019 akionyesha jezi ambazo alizigawa kwa mshindi wa kwanza na wapili wa mashindano hayo Diwani Nguvu Chengula wa kata ya Mwangata na mkurugenzi wa shule za Sun Academ ambaye alikuwa ndiye mdhamini wa mashindano hayo ya Sauti ya Simba Super Cup 2019 akitoa mpira kwa mshindi wa tatu wa mashindano hayo 

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
MASHINDANO ya Sauti ya Simba Super Cup 2019 kata ya Mkimbizi yamefikia tamati siku ya jana baada ya kuchezwa fainali kati ya Mkimbizi FC na Igeleke FC katika viwanja vya shule ya msingi Mkimbizi na Igeleke FC kuibuka mshindi.
Mashindano haya ya mpira wa miguu yaliyokua yanahusisha zaidi ya timu n... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More