IGP APOKEA KAMERA MAALUM KUSAIDIA MAPAMBANO YA UHALIFU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGP APOKEA KAMERA MAALUM KUSAIDIA MAPAMBANO YA UHALIFU

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipokea kamera maalum (Drons) kutoka kwa Mwakilishi wa kampuni ya Kifaru Ifigenia Anselmi walipokutana Makao Makuu ya Polisi ambapo kampuni hiyo imetoa kamera tatu kwa ajili ya kusaidia mapambano ya uhalifu hapa nchini (Picha na Jeshi la Polisi).


Source: Issa MichuziRead More