IGP awaomba viongozi wa dini kuendeleza doria za kiroho - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGP awaomba viongozi wa dini kuendeleza doria za kiroho

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewaomba Viongozi wa dini nchini kuendelea kufanya doria za kiroho huku Jeshi hilo, likiendeleza doria za kimwili kwa pamoja ili kuukabili uhalifu ikiwemo mauaji yanayosababishwa na wivu wa mapenzi ambayo yameanza kuongezeka katika siku za hivi karibuni. IGP Sirro, ameyasema hayo katika ziara yake Wilayani Ukerewe


Source: Kwanza TVRead More