IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kulia), akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Sarah Cooke, wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam, na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuendeleza ushirikiano. Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kulia), akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Sarah Cooke, alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam, na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuendeleza ushirikiano. Picha na Jeshi la Polisi.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More