IGP Sirro afanya teuzi mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGP Sirro afanya teuzi mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi

IGP Simon Sirro amemteua Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ramadhan Ng’anzi kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (RPC) Mkoa wa Arusha.


Aliyekuwa RPC Arusha, Naibu Kamishna wa Polisi, Charles Mkumbo amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi Dar es Salaam.


Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More