IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KIKOSI CHA POLISI RELI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KIKOSI CHA POLISI RELI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo kikosi cha Polisi Reli Dar es salaam leo wakati alipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika kikosi hicho kwa lengo la kujionea utayari wao katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Picha na Jeshi la Polisi.


Source: Issa MichuziRead More