IGP Sirro afunguka kuhusu taarifa za Kamanda Mambosasa kuhamishwa Dar Es Salaam - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGP Sirro afunguka kuhusu taarifa za Kamanda Mambosasa kuhamishwa Dar Es Salaam

Baada ya taarifa kusambaa mtandaoni kuwa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar Es Salaam, Lazaro Mambosasa amehamishwa kituo cha kazi, hatimaye Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Simon Sirro amekanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli.The post IGP Sirro afunguka kuhusu taarifa za Kamanda Mambosasa kuhamishwa Dar Es Salaam appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More