IGP SIRRO ATEMBELEA VYUO VYA POLISI DAR NA ZANZIBAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

IGP SIRRO ATEMBELEA VYUO VYA POLISI DAR NA ZANZIBAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Maofisa wa Polisi Kamisheni ya Zanzibar wakati wa Ziara yake inayoendelea katika Vyuo vya Polisi hapa nchini kwa lengo la kuboresha elimu inayotolewa na vyuo hivyoMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiimba wimbo pamoja na Askari wakati wa kikao chake na Askari wanafunzi katika Chuo cha Polisi  Zanzibar wakati wa ziara yake. Kulia kwake ni Kamishna wa Polisi  Zanzibar Mohamed Hassan Haji na kushoto ni Mkuu wa Utawala na Fedha Kamisheni ya Polisi Zanzibar Faustine Shilogile.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Mafundi wa Nguo za Polisi waliopo katika Kiwanda cha Polisi cha kushona nguo Kamisheni ya Polisi Zanzibar wakati wa Ziara yake inayoendelea katika Vyuo vya Polisi hapa nchini kwa lengo la kuboresha elimu inayotolewa na vyuo hivyo (Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka Wakufunzi wa Vyuo vya Polisi vya Dar es Salaam na Zanzibar kuhakikis... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More