Ikangaa kumbe naye yumo! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ikangaa kumbe naye yumo!

UNAMKUMBUKA bingwa wa zamani wa Afrika wa mbio za marathoni? huyu ni Juma Ikangaa ambaye juzi aliibukia kwenye mashindano ya Copa Umisseta na alikuwa makini kufuatilia moja ya mechi za mpira wa kikapu jioni baada ya kushuhudia riadha asubuhi.


Source: MwanaspotiRead More