Inakuwaje Cannavaro aagwe kirahisi hivi? - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Inakuwaje Cannavaro aagwe kirahisi hivi?

NDANI ya Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro keshokutwa Jumapili, Yanga itamuaga rasmi nahodha wake wa muda mrefu, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ambaye sasa atabeba majukumu mengine. Anakua Meneja wa timu hiyo.


Source: MwanaspotiRead More