INAWEZEKANA: Unapokosea kwenye usajili lazima itakula kwako - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

INAWEZEKANA: Unapokosea kwenye usajili lazima itakula kwako

MSOMAJI, Sevilla ni timu ambayo katika miaka ya hivi karibuni imepata mafanikio makubwa sana. Walishinda Ligi ya Ulaya maarufu kama Europa League mara tatu mfululizo katika misimu ya 2013/2014—2014/2015 na 2015/2016. Hakika, Sevilla wamekuwa na makocha wazuri kama Unai Emery na Jorge Sampaoli ambao wamekuwa sababu kubwa ya mafanikio ya Sevilla.


Source: MwanaspotiRead More