INDIA: Auawa kwa kosa la kukalia kiti na kula chakula mbele ya watu wa tabaka la hali ya juu, hatimaye kudaiwa kupigwa vibaya kama adhabu yakosa hilo  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

INDIA: Auawa kwa kosa la kukalia kiti na kula chakula mbele ya watu wa tabaka la hali ya juu, hatimaye kudaiwa kupigwa vibaya kama adhabu yakosa hilo 

Jamii ya wahindi wa tabaka la chini linalojukina kama Dalit linaomboleza kifo cha mmoja wao aliyeuawa kwa kosa la ”kukalia kiti na kula” mbele ya watu wa tabaka la juu katika kijiji cha Kot nchini India.


Jitendra


Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Mwezi uliyopita kundi la wanaume wa jamii ya wahindi wa tabaka la juu lilidaiwa kumpiga vibaya mtu aliyefahamika kama Jitendra mwenye umri wa miaka 23 ili kumuadhibu lakini alifariki siku tisa baadae.


Hakuna hata mmoja kati ya mamia ya wageni waliohudhuria harusi hiyo aliyejitokeza kuelezea masaibu yaliyomkuta Jitendra siku ya April 26. Lakini polisi imesema wazi nini kilichotokea.


Chakula katika harusi hiyo kilipikwa na watu wa jamii ya tabaka la juu kwasababu watu katika kijiji hicho hawagusi chakula kilichopikwa na Dalit ambao zamani waliitwa “wasio guswa”.


“Mzozo uliibuka wakati chakula kilipokua kikipakuliwa kuhusu nani aliyekalia kiti,” afisa wa polisi Ashok Kumar alisema.Geeta Devi


Geeta Devi anasema alimpata mwanawe akiwa amejeruhiwa n... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More