India Sakkim: Uwanja huo umejengwa katika eneo lenye milima linalotajwa na wahandisi kuwa na mandhari ya kupendeza zaidi duniani. - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

India Sakkim: Uwanja huo umejengwa katika eneo lenye milima linalotajwa na wahandisi kuwa na mandhari ya kupendeza zaidi duniani.

Waziri mkuu wa India Narendra Modi, amefungua rasmi uwanja wa ndege wa 100,unasemekana kuwa mzuri zaidi duniani, katika jimbo la kaskazini mashariki la Sikkim,


Source: BBC SwahiliRead More