India wapiga marufuku kuacha mke - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

India wapiga marufuku kuacha mke

SERIKALI ya India imeanza utekelezaji wa muswada wa sheria ya ulinzi wa haki katika Ndoa wa mwaka 2017 uliokwama kupitishwa na bunge la nchi hiyo, ambao unalenga kuwabana wanaume wa kiislamu kutoa talaka tatu. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Muswada huo ambao unatafisri utolewaji wa talaka tatu za papo kwa papo kama kosa la jinai ...


Source: MwanahalisiRead More