INIESTA ANG'ARA HISPANIA IKIILAZA TUNISIA 1-0 KIRAFIKI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

INIESTA ANG'ARA HISPANIA IKIILAZA TUNISIA 1-0 KIRAFIKI

Andres Iniesta wa Hispania akimruka mchezaji wa Tunisia, Elyess Skhiri katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia jana Uwanja wa FK Krasnodar. Hispania ilishinda 1-0, bao pekee la Iago Aspas dakika ya 84 akimalizia pasi ya Diego Costa Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More