Instagram Direct kuondolewa hivi karibuni - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Instagram Direct kuondolewa hivi karibuni

Instagram Direct imekuwa ikiambatanishwa kwenye prigramu tumishi husika lakini uwepo wake sasa utafikia ukomo siku si nyingi kutokana na maboresho ambayo yataongezwa mwezi ujao kuonekana kuondolewa kwa kipengele hicho. Facebook wamekuwa ni watu wa kutoa masasisho kila mara na yamekuwa yakijumuisha maboresho makubwa kwa madogo. Katika taarifa za hivi karibuni zinaonesha kuwa Instagram Direct haitakuwepo tena [...]


The post Instagram Direct kuondolewa hivi karibuni appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More