INSTAGRAM FOR BUSINESS BOOT CAMP - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

INSTAGRAM FOR BUSINESS BOOT CAMP

Good Morning


Tulikua na Training ya #instagram4businessbootcamp kwa siku mbili Alhamisi na juzi Jumamosi.Training ilifanyika baada ya kuona uhitaji wa watu wengi kutokujua matumizi mazuri ya instagram kibiashara.


Mafunzo yali base kwenye kuhakikisha washiri wanajua jinsi ya kuchagua jina la instagram ,kuandika Bio zao,jinsi ya kutofautisha clients na followers na ku focus na clients kuliko followers heri kua na followers 100 wanaokuungisha kiliko ma Laki ambao hata hawa like wala kununua bidhaa zako,kingine ni umuhimu wa kutumia #hashtags ,picha gani za kupost,jinsi ya kutumia insta story na vikorombwezo vyote ,na mengine mengi.


Mshiriki akifika alikua anajisajili kwa kaundika email na namba yake ya simu then anapata file ambalo lina hivi vitu ndani.Hawa ndio partners wetu mbalimbali


Muongozo mzima wa training ikiwa kwenye booklet,ki daftari cha kuandika kutoka kwa DISANACO ,pen toka NMB ,kijarida toka kwa Presis finance ,kingine ni popsocket kutoka kwa Lavy Products


Mambo yalikua fi... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More